ľ¹ÏÓ°Ôº

Skip to Main Navigation
Events

Tukio Mubashara: Mkutano wa IDA20 ¨C Tathimini Muhula wa Kati

December 6, 2023
Online

KUHUSU MKUTANO 

Huku mizozo ikiendelea katika sehemu mbalimbali za dunia, Benki ya Dunia inashiriki kuchukua hatua madhubuti za kukomesha umaskini ulimwenguni. Mpango wa Taasisi ya Kimataifa wa Benki ya Dunia unayoshughulikia Maendeleo (IDA) ni muhimu katika kufanikisha dhamira hiyo. Ikifanya kazi na washirika kote ulimwenguni na kwa kuzingatia matumizi sahihi ya fedha, IDA inashughulika kutoa suluhu kwa kiwango kikubwa na kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma. 

KUHUSU IDA20 

Mfuko wa maendeleo wa Benki ya Dunia uitwao IDA unafadhili nchi zenye kipato duni duniani. Kupitia ufadhili wa mzunguko wake wa 20 (IDA20) wenye thamani ya dola bilioni 93 (Kwa Kipindi cha Julai 1, 2022 - Juni 30, 2025), IDA imedhamiria kusaidia mataifa maskini zaidi duniani katika safari ya kuelekea upatikanaji wa maendeleo ya kijamii, kibinadamu na kiuchumi.

FAHAMU ZAIDI: Mkutano wa IDA20 ¨C Tathimini Muhula Wa Kati 

SHIRIKISHA WENGINE: Usikose kufuatilia mazungumzo ya viongozi na washirika mbalimbali moja kwa moja kutoka Zanzibar nchini Tanzania, ambapo watapitia na kuchambua muhula wa kati wa ufadhili unaoendelea wa @WBG_IDA. #IDAIpoKazini 

 


Mada Maalum





Masuala Yasiyo na Mipaka





WORLD BANK LIVE

  • TUKIO MKONDONI: Jumatano, Desemba 6, Saa 02:30-03:50 Asubuhi ndani ya Zanzibar